WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ANATARAJIWA KUFUNGUA MKUTANO MKUU WA WAUGUZI NA KONGAMANO LA KISAYANSI LEO MKOANI LINDI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa leo Oktoba 4, 2017 kufungua  mkutano Mkuu wa Wauguzi na Kongamano la Kisayansi Mkoani Lindi katika Hoteli ya Sea View Beach Resort, Mkutano ambao utakao jumuisha Wauguzi  kutoka sehemu mbalimbali na unatarajiwa kufungwa Oktoba 6,2017

0 comments: