RAIS WA CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA) AONGOZA KIKAO CHA WAUGUZI HAO MKOANI LINDI
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 2:08 AM
Rais wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA), Paul Magesa (katikati) akifungua kikao cha kamati ya Mkutano Mkuu wa 45 wa maandalizi ya chama hicho Mkoani Lindi jana. kulia ni Mwenyekiti wa chama cha hicho Mkoa wa Lindi, Patrick Achimpota na Katibu Mkuu wa Chama hicho, Sebastian Luziga. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mwenyekiti wa chama cha Wauguzi (TANNA) Mkoa wa Lindi, Patrick Achimpota (kulia), akizungumza jambo wakati wa kikao hicho, kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama hicho, Sebastian Luziga na Rais wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA), Paul Magesa
Viongozi mbalimbali na wajumbe wakisikiliza kwa makini wakati Rais wa Chama cha Wauguzi (TANNA), Paul Magesa alipokuwa akizungumza jambo
Viongozi na wajumbe wakifuatilia kwa umakini
Wajumbe wa Mkutano huo wakisikiliza kwa umakini
Katibu wa Kamati Kuu ya Mkoa Lindi, Emericiana Mtwiche (kulia) akizungumza jambo wakati wa Mkutano huo
Dokt. Sophia Khaify (kulia) akisalimiana na Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania, Paul Magesa mara baada ya kufunga kikao hicho cha Kamati ya Maandalizi jana.
Rais wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), Paul Magesa (kulia) akisalimiana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi, Ngwechele Makenge, anaye shuhudia katikati ni Makamu wa Rais wa Chama hicho, Ibrahim Mgoo
Makamu wa Rais wa Chama cha Wauguzi (TANNA), Ibrahim Mgoo (kulia), akisalimiana na Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi, Ngwechele Makenge
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi, Ngwechele Makenge akizungumza jambo na viongozi mbalimbali wa chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA), pichani hawapo
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Lindi, Ngwechele Makenge (kulia) akizungumza na Viongozi wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) wakati walipofika Ofisi ni kwake kumsalimia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: