TANZIA

Enzi za uhai wake Mzee,  Leslie allan Chiwawa. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa blog

Akinamama wakipika chakula nyumbani kwa mtoto mkubwa wa marehemu Mzee, Leslie Allan Chiwawa ambaye ni Winfred Chiwawa (pichani hayupo)



  Waombolezaji wakiwa nyumbani  kwa mtoto mkubwa wa marehemu, Winfred Chiwawa (pichani hayupo) ambaye ni mfanyakazi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI) 
Mtoto wa pili wa marehemu, Leslie allan Chiwawa ,Wales Chiwawa (watatu kushoto) akijadiliana jambo na ndugu kabla ya mwili kupelekwa Kanisani kwa ajili ya Ibada na kufanya safari kuelekea   Mkoa wa Mtwara. Ambapo 17 Oktoba 2017  Mazishi yatafanyika  saa kumi jioni katika kijiji cha Marika, Wilaya ya Masasi Mkoa wa Mtwara










Wajukuu wakiwa katika jeneza lenye mwili wa babu yao mzee, Leslie allan Chiwawa

Watoto wakishirikiana kutoa jenez lenye mwili wa marehemu baba yao kwa maandalizi ya Sala fupi kwa wale ambao hawataweza kufika kanisani na kupata nafasi ya kutoa heshima ya mwisho

Waombolezaji wakitoa heshima za mwisho nyumbani kwa
Winfred Chiwawa




Familia pamoja na wajukuu wakitoa heshima za mwisho
Mtoto mkubwa wa marehemu, Mzee,  Leslie allan Chiwawa, ambaye ni mfanyakazi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Winfred Chiwawa akiwa amembeba mtoto  Dar es Salam jana Oktoba 14,  2017 akipita mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu baba yake eneo la Mbezi magari Saba kabla ya kuelekea katika Kanisa la Mtakatifu Batholomayo Anglicana, Ubungo Plaza na kufatiwa na Ibada ya sala iliyoongozwa na Padre Canon, Paul Cathbeth kabla ya kuelekea katika kijiji cha Marika, Wilaya ya Masasi Mkoa wa Mtwara kwa mazishi yatakayofanyika 16, Oktoba 2017, Saa kumi jioni



Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa katika picha ya pamoja na ndugu wakiwa na  huzuni
Wanandugu katika picha ya pamoja
Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa wakizungumz jambo kabla kutoa heshima za mwisho Oktoba Dar es Salaam jana 14, 2017




Ibada ya sala  iliyoongozwa na Padre Canon, Paul Cathbeth (wa pili kulia) wa Kanisa la Mtakatifu Batholomayo Anglicana, Ubungo Plaza kabla ya kuelekea katika kijiji cha Marika, Wilaya ya Masasi Mkoa wa Mtwara kwa mazishi yatakayofanyika, Oktoba 16,  2017, Saa kumi jioni










Wajukuu wa marehemu wakibubujikwa na machozi





0 comments: