MWENYEKITI WA CCM, RAIS MAGUFULI, AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA HICHO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM), Rais John Mgufuli, akiagana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake ya chama hicho, (UWT), Bi. Amina Makilagi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM, (Bara), Bw. Rodrick Mpogolo, (wakwanza kushoto) na Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi, Bw. Huphrey Polepole, baada ya mazunguzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Aprili 14, 2017.(PICHA NA IKULU)

0 comments: