Mchezaji wa timu ya Azam FC, Ally Shomari akimiliki mpira dhidi ya wachezaji wa Simba, Jonas Mkude (Kushoto) na Hussein Shabalala wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika jana katika uwanja wa Azam Complex Dar es Salaam, kujiandaa na mechi za ligi kuu inayotarajiwa kuanza hivi karibuni. mtibwa imeifunga Simba 2-1 (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: