
Bao
hilo lilipatikana Dakika ya 29 kufuatia Pasi safi ya Ander Herrera
kunaswa na Mkhitaryan na kuachia Shuti lililotinga Wavuni.
Paul
Pogba angeweza kuipatia Man United Bao la Pili lakini Frikiki yake
iligonga Posti lakini Bao hilo pekee la Mkhitaryan limetosha kuipa Man
United ushindi wake wa kwanza katika Mechi 3 za EPL ambazo walitoka Sare
1-1 na Arsenal, West Ham na Everton, Mechi ambazo zote walitawala na
kustahili ushindi.
Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Armenia alitolewa Uwanjani kwa Machela.
0 comments: