MABASI YA MWENDOKASI YAENDELEA KUKUMBWA NA CHANGAMOTO ZA WAKIUKAJI SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 8:19 AM
Changamoto za utii wa sheria barabarani hususan kwenye mfumo wa mabasi
yaendayo kazi UDART jijini Dar es Salaam, umeendelea kuyakumba mabasi
hayo ya kazi ambapo ikiwa ni chini ya masaa 24 yangu mpanda bodaboda
kuingilia njia za mabasi hayo na kuelekea ajali iliyosababisha kifo cha
mtoto, Leo tena pale Magomeni Mwembechai, pametokea tena ajali ambapo
sehemu ya mbele upande wa kushoto NCHINI, basi hilo limeathirika
kutokana na ajali hiyo kama ambavyo inavyoonekana pichani lakini safari
hii basi hilo limegongana na Gari aina ya Toyota.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: