KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AFUNGUA SEMINA ELEKEZI KWA MAKATIBU WAKUU NA MANAIBU KATIBU WAKUU IKULU, DAR ES SALAAM
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 6:15 AM
Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu
wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam
Baadhi
ya Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini
Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: