JPM AKUTANA NA JK IKULU KWA MAZUNGUMZO

 Rais,  Dkt. John Pombe Magufuli leo hii Januari 6, 2016, amekutana na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu jijini Dar es Salaam, ambapo walifanya mazungumzo. (Picha na Ikulu)

Rais  Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

0 comments: