WAZIRI MKUU MAJALIWA APOKEA MAWAZIRI WAKE, NI JENISTA, DKT.POSI NA MAVUNDE
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 9:09 AM
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Jenista Mhagama (wapili kushoto), na Naibu Mawaziri Ofisi ya Waziri Mkuu,
Dkt. Abdallah Possi (wapili kulia) na Anthony Mavunde (kulia) baada
ya kuwakabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu wakati waliporipoti Ofisini kwa
Waziri Mkuu kuanza kazi Desemba 14, 2015. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akipokea maua kutoka kwa
mtumishi wa ofisi ya Waziri Mkuu, Numpe mwadumbya (kushoto) baada ya kuwasili
ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama wakati aliporipoti Ofisini kwake
jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Naibu
Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Anthony Mavunde wakati aliporipoti
Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015. Katikati ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenisa Mhagama
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Naibu
Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Abdallah Possi wakati
aliporipoti Ofisini kwake jijini Dar es salaam kuanza kazi Desemba 14, 2015.
Wapili kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenisa
Mhagama na kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, ofisi ya Waziri Mkuu,
Anthony Mavunde
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: