WAZIRI MKUU MAJALIWA "ACHOTA" BUSARA ZA WAZIRI MKUU MSTAAFU WARIOBA

 Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu ,Jaji
Joseph Sinde Warioba  wakati alipokwenda nyumbani kwa mstaafu huyo
Oysterbay jijini Dar es slaam kumtebelea Desemba 16, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Waziri Mkuu
Mstaafu ,Jaji Joseph Sinde Warioba  wakati alipokwenda nyumbani kwa mstaafu
huyo  Oysterbay jijini Dar es salaam  kumtembelea  ,Desemba 16, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0 comments: