MMILIKI WA UJIJIRAHAA BLOGO NA NDUGU SAFARINI IFAKARA

 Ndugu zake Mmliki wa ujijirahaa blog Khamisi Mussa, wakipata Nyama zinazo andaliwa na kabila la Kimasai zinazochomwa kwa utaalamu wa hali ya juu  maeneo ya  kitongoji cha Sangasanga Mkoani Morogoro. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Mmiliki wa ujijirahaa blog (wa pili kulia) katika picha ya pamoja na wanafamilia safarini Ifakara tukiweka kambi ya muda kwa kupata nyama kutoka kwa kabila la Kimasai wanao choma nyama kwa utaalamu wa hali ya juu maeneo ya kitongoji cha Sangasanga Mkoani Morogoro



Furaha nderemo kwa ilitawala maeneo hayo

0 comments: