MAMA SAMIA ACHANJA MBUGA KUPIGA KAMPENI HANDENI, KILINDI, KITETO NA KONDOA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 1:29 AM
Wananchi
wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan, alipohutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika
jimbo la Handeni mkoa wa Tanga.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akimnadi Mgombea Ubunge jimbo la Handeni katika mkutano wa hadhara
uliofanyika Handeni mkoani Tanga.
Wagombea
Udiwani katika kata mbalimbali jimbo la Handeni, wakinyoosha mikono,
waliponadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo
hilo la Handeni mkoani Tanga. Kulia ni Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za
CCM, Angella Kizigha.
Mwandishi
wa habari aliyeko katika msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi
ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, wa kampeni za CCM, wakati wa mkutano
wa kampeni uliofanyika leo jimbo la Handeni mkoa wa Tanga.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akionyesha
ilani ya CCM, kabla ya kumkabidhi Mgombea Ubunge jimbo la Handeni
Vijijini, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la
Handeni Mjini mkoani Tanga.
Aliyekuwa
Muomba ridhaa ya CCM, kugombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini, John
Sallu, akimnadi Mgombea aliyepitishwa na CCM katika kura za Maoni, Mboni
Mhita, katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la
Handeni Mjini mkoani Tanga.
Mgombea
Ubunge jimbo la Handeni Vijijini, Mboni Mhita akihutubia mkutano wa
kampeni katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la
Handeni Mjini mkoani Tanga
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza
na Mgombea Ubunge jimbo la Handeni Vijijini, Mboni Mhita, katika
mkutano wa kampeni uliofanyika leo, katika jimbo la Handeni Mjini mkoani
Tanga leo.
Wananchi
wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,
Mama Samia Suluhu Hassan alipopita katika kijiji cha Msente, akiwa
njiani kwenda kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kilindi
mkoani Tanga.
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi
ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipopita katika kijiji cha Kwediboma,
akiwa njiani kwenda kuhutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Kilindi
mkoani Tanga.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza
na Mgombea Ubunge jimbo la Kilindi, Omar Kigua, wakati wa mkutano wa
kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Tanga.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kilindi mkoa wa
Tanga.
Umati
wa wananchi ukiwa umefurika katika mkutano wa kampeni uliofanyika
Kibirashi leo katika jimbo la Kilindi mkoa wa Tanga leo.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizmnadi
Mgombea Ubunge jimbo la Kilindi mkoani Tanga, Omari Kigua katika mkutano
wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akizungumza
na wananchi waliozuia msafara wake wakati akitoka Kilindi kwenda Kiteto
kuhutubia mkutano wa kampeni.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wananchi waliozuia msafara wake wakati akitoka Kilindi
kwenda Kiteto kuhutubia mkutano
wa kampeni.
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili
kwenye Ofisi ya CCM wilaya ya Kiteto kabla ya kwenda Uwanjani kuhutubia
mkutano wa kampeni katika jimbo la Kiteto
Wananchi wakiwa wamefurika katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo Kiteto
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akiwasili
kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika jimbo la Kiteto mkoani Manyara
leo.
Wananchi
wakimshangilia mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kiteto mkoani
Manyara.
Vijana
wakijitahidi kukaa popote kuhakikisha wanamuona Mgombea Mwenza wa Urais
kwa tiketi Mama Samia, uliofanyika leo katika jimbo la Kiteto mkoani
Manyara leo
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara
leo
Mgombea
Mwenza a Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akimnadi
mgombea Ubunge jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Emmanuel Papian John,
katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika jimbo hilo leo.
Wagombea
wa Udiwani katika jimbo la Kiteto wakinyoosha mikono baada ya kunadiwa
na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, katika mkutano wa kampeni
uliofanyika leo
Wananchi
wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM katika mkutano
wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kiteto mkoani Manyara leo.
Mbunge wa Nchemba, Juma Nkamia akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Dodoma
Mgombea
Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia
mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nchemba mkoani Dodoma
leo.
Baadhi
ya wagombea Udiwani jimbo la Nchemba, wakinyoosha mikono, baada ya
kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu
Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, katika jimbo hilo
mkoa wa Dodoma. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: