MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE AZINDUA MATAWI 3 YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

Katibu wazazi Jimbo la Temeke, Tukae Kondo, akitambulisha baaadhi ya viongozi wa Jumuiya Wazazi na Serekari ya Mtaa baada ya kufanya ziara ndani ya Kata 13, katika hafla fupi ya kuhamasisha viongozi hao kukabiliana na Uchaguzi ujao na Daftari la Wapiga kura yakiwemo na Maoni ya katiba , Dar es Salaa jana.(PICHA NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa Blog ya UJIJI RAHAA.
Mbunge wa Jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaa, Abbas Mtemvu (kulia) akipiga makofi mara alipo wasili katika hafla ya Viongozi wa Chama Cha mapinduzi (CCM) ambapo katika hafla hiyo yalifunguliwa matawi  mbalimbali 3 na wanacha chama 40 walijiunga na chama hicho . kushoto ni Mwenyekiti wazazi Wilaya ya Temeke, Sophia Kinega.
Wanachama ambao ni Niongozi wa Chama hicho
Viongozi wa Chama hicho wakipunga mikono walipo tambulishwa.
Mbunge wa Jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam , Abbas Mtemvu (wa katikati), akiwapungia mkono wanachama hao mara alipo tambulishwa katika hafla fupi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya ziara ya kuhamasisha viongozi wa Jumuiya ya Wazaizi katika uchaguzi wa Serekari za Mtaa kujitokeza  kwa wingi na kujiandikisha kwenye Daftari la Kupiga Kura na maoni ya katiba.kushoto ni  Mwenyekiti wazazi Wilaya ya Temeke, Sophia Kinega na kulia ni Mwenyekiti  Wazazi Jimbo la Temeke Sudi Mliro.
Mbunge wa Jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam , Abbas Mtemvu (wa katikati), akiwa makini kumskiliza Mwenyekiti  Wazazi Jimbo la Temeke Sudi Mliro (kulia), alipokuwa akifunguwa  hafla fupi ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) baada ya ziara ya kuhamasisha viongozi wa Jumuiya ya Wazaizi katika uchaguzi wa Serekari za Mtaa kujitokeza  kwa wingi na kujiandikisha kwenye Daftari la Kupiga Kura na maoni ya katiba.kushoto ni  Mwenyekiti wazazi Wilaya ya Temeke, Sophia Kinega.
Mbunge wa Jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge wa Mkoa wa Dar es Salaam , Abbas Mtemvu,  akiwaombea Dua viongozi hao katika uchaguzi wa mwezi wa 12, wachague viongozi waweze kuhakikisha wanapata viongozi wazuri ili CCM iweze kufanya vizuri(kusho ni) Katibu  Wazazi Wilaya, Selemani Ndende,anaye fatia ni,  Mwenyekiti wazazi Wilaya ya Temeke, Sophia Kinega na wa kwanza kulia ni  Mwenyekiti  Wazazi Jimbo la Temeke Sudi Mliro
















0 comments: