Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam Abbas Mtemvu akitia saini katika kitabu cha wageni Ofisi ya katibu kata ya chama cha Mapinduzi CCM Buza Dar es Salaam.
Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu,(wapili kulia) wakipiga makofi wakiimba wimbo wa chama hicho mara alipo wasili Ofisini hapo,kuanzia kushoto ni Mwenyekiti UVCCM kata ya Buza,Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Jimbo la Temeke na msaidizi wa Mbunge wa jimbo hilo upande wa Vijana.Peter Sillo,aliye vaa shati la kijani ni Mwenyekiti wa CCM kata ya Buza, Shabani Bambo na wakwanza ni Katibu kata ya Buza Shabani Abdallah.
Katibu kata ya Buza Shabani Abdallah, akimkaribisha Mgeni rasmi Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu, na akitambulisha katika hafla fupi ya kukabidhi jezi na pesa taslim kwa matumizi mbalimbali ya kiofisi, katika moja ya ahadi aliyoitowa kwa majimbo matano kwa wanachama wa chama cha Mapinduzi(CCM) Buza.
Mbunge wa jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es Salaam Abbas Mtemvu(kulia) akimkabidhi Jezi na pesa taslim katibu wa Tawi la Mashine ya Maji5 Baraka Mohamedi
Mbunge wa Jimbo la Temeke na Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Dar es salaam,Abbas Mtemvu (kulia),akimkabidhi Mwenyekiti wa CCM kata ya Buza seti ya Jezi pamoja na Pesa taslim Sh.milioni moja na laki moja. Johari Mkonde (kushoto), kati ya ahadi aliyoitowa kwa majimbo matano kwa wanachama wa chama cha Mapinduzi . anaye shuhudia ni Mwenyekiti wa chama hicho kata ya buza, Shabani Bambo.
Mbunge wa Jimbo la Temeke akitoka na viongozi kwanda eneo lililo haribiwa na Mvua na kusababisha njia hiyo kutopitika na Magari yakawa hayapiti katika njia hiyo, kati ya Vituka Machimbo na Buza Shule na jinsikani wataweza kuweka Daraja katika Mto wa Buza ili wanafunzi na wananchi waweze pita kwa urahisi kutokana na ukaribu wa eneo hilo.
0 comments: