WAREMBO WANAO WANIA TAJI LA MISS DAR CITY CENTER 2014 WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA ,DAR ES SALAAM JANA.
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 6:19 AM
Vimwana wa Miss Dar City Center wakipita jukwaani kujitambulisha kwa mashabiki waliohudhuria mashindano ya kumsaka mrembo mwenye kipaji kwa kitongoji hicho, Dar es Salaam jana.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Vimwana wa Miss Dar City Center wakionyesha shoo kabla ya kuanza kwa mashindano ya kumsaka mrembo mwenye kipaji katika kitongoji hicho.
Vimwana waliofanikiwa kutinga hatua ya tano bora kwenye mashindano ya kipengele cha mrembo mwenye kipaji zaidi kati ya wanaoshiriki kinyang'anyiro cha Miss Dar City Center.
Mpiga Drams wa Xtreme Djz, Haidary Vagu A.K.A Zungu The Prommer, akitumbuiza katika mashindano ya kumsaka mrembo mwenye kipaji wa kitongoji cha Dar City Center, yaliyofanyika Dar es Salaam, jana.
Msanii nguli wa bongo fleva, TID akiimba mbele ya Mkuu wa Itifaki ya Miss Tanzania, Albert Makoye na mrembo Rashida Wanjala aliyekaa wakati wa mashindano hayo.
Baadhi ya mashabiki waliohudhuria shindano hilo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: