MKUU WA MSAFARA PROF ,JOHNNY MONU AKITOA MAELEZO KWA MADAKTARI KATIKA TAASISI YA MIFUPA MOI DAR ES SALAAM LEO

 Mkuu wa Kitengo cha radiologia na Daktari bingwa wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu na Upasuaji wa Ubongo   .Mechris Mango, akiwaonyesha waandishi wa Habari (pichani hawapo) Mashine ya kisasa amayo  ni mpango mkakati wa Taasisi hiyo ikibadilishana uzowefu na Madaktari toka Nchi mbalimbali ikiwemo madaktari toka New Marekani na madaktari wahapa Nchini sehemu mbalimbali
 Madaktari wakiwa makini katika kufatikia jambo

 Madaktari wakifurahia jambo katika kubadilisana uzowefu kwakutumia Mashine za kisasa katika Taasisi ya Mifupa Moi leo Dar es Salaam

Mkuu wa msafara  Prof,  Johnny Monu kutoka  Chuo  kikuu cha Rochester New York Marekani (kulia) ,ambaye ndio mkuu wa msafara,akiongea na washiriki toka Hospitali ya Taifa Muhimbili, Chuo kikuu cha Tiba ya Sayansi Muhimbili(MUHAS)  na Madaktari bingwa kutoka hospitali nyingine, Hii ni mpango mkakati wa Taasisi ya (MOI) (PICHA NA KHAMISI MUSSA)

0 comments: