HAFLA YA KUMUAGA ABUBAKAR MWILIMA UKUMBI WA POLICE OFFCER'S MESS OYSTERBAY DAR ES SALAAM.
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 8:25 AM
Ukumbi
Mwenyekiti wa Hafla ya kumuaga Abubakari Mwilima Fatuma Mmari(kulia)akiwa na wageni
keki Ilio andaliwa katika Hafla ya Mwilima
Mama wa Mwilima Hellen Mwilima(wapili kulia) Akiwa na Akina mama wenzake alipo kua Akiingia Ukumbini
Bibi wa Abubakar Mwilima Fedha Rashidi Akiomba Dua kwa ufunguzi wa Hafla fupi ya kumuaga
MC Akiongoza Hafla Hiyo ya kumuaga Abubakar Mwilima katika Ukumbi wa Police Officer's Mess Oysterbay .
Mwenyekiti Fatuma Mmari (wa nne kushoto) wa kamati ya Hafla ya kumuaga Abubakar Mwilima katika picha ya pamoja na kamati ya maandalizi katika Ukumbi wa Police Officer's Mess Oysterbay
Mama Mzazi wa Abubakar Mwilima, Hellen Mwilima Akiongea na wageni waalikwa katika Hafla ya mtoto wake
Familia Ikienda kutoa zawadi kwa mama wa Mwilima
Mwenyekiti Fatuma Mmari wa kamati ya Hafla ya kumuaga Abubakar Mwilima akimtunza mama wa Mwilima katika Ukumbi wa Police
Officer's Mess Oysterbay
Mkuu wa Mkoa Tabora Fatuma Mwasa Akiongea machache katika Hafla ya Mtoto wa kaka yake kwakuwashukuru mama wa Abubakar na baba yake kwamalezi Alioyapata Alipokua shuleni
Mkuu wa Mkoa Tabora Fatuma Mwasa Akiongeakwakuyakumbuka ya mazuri alio tendewa na mama wa Abubakari alipokua akijianda kumpa zawadi
Mkuu wa Mkoa Tabora Fatuma Mwasa Akiongeakwakuyakumbuka mazuri alio tendewa na mama wa Abubakari alipokua akijianda kumpa zawadi.
Mkuu wa Mkoa Tabora Fatuma Mwasa akimtunza mama wa Mwilima
Mkuu wa Mkoa Tabora Fatuma Mwasa akimtunza mama wa Mwilima
Mkuu wa Mkoa Tabora Fatuma Mwasa katika picha na mama wa Abubakari Mwilima
Mama wa Abubakari katika picha ya Pamoja na watoto alio walea kupitia kwa mama wa Abubakari Mwilima
Mc na kamati yake wakitoa zawadi ya Mbuzi na pesa kwa mama wa Mwilima
Mc na kamati yake wakitoa zawadi ya Mbuzi na pesa kwa mama wa Mwilima
Mama mdogo na kamati yake wakimtunza mama wa Mwilima
Watoto walio lelewa na mama wa Mwilima wakitoa zawadi zao
picha ya pamoja ya watoto walio lelewa na mama wa Mwilima
Akitoa Shukurani kwa Wote walio fika Ukumbini
Akiwapungia mikono wageni waalikwa Baada ya Kuwasili katika Ukumbi wa Police
Officer's Mess Oysterbay(PICHA NA KHAMISI MUSSA,mmiliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com)0713/0757-481158.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


































0 comments: