Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wakishusha kwenye gari
jeneza lenye mwili wa askari mwenzao, marehemu Luteni Rajab Mlima
wakati wa maziko yaliyofanyika jana katika makaburi ya Kisutu, Dar es
Salaam jioni hii. Mlima ambaye alikuwa katika Jeshi la Umoja wa Mataifa
la Kulinda Amani DRC Congo aliuawa akiwa kazini katika Mlima Gavana eneo
la Goma. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)Mmiliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com.
Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ), wakiwa wameinamia kwa
huzuni jeneza lenye mwili wa askari mwenzao, marehemu Luteni Rajabu
Mlima wakati wa maziko yaliyofanyika leo katika makaburi ya Kisutu, Dar
es Salaam jioni hii. Mlima ambaye alikuwa katika Jeshi la Umoja wa
Mataifa la Kulinda Amani DRC Congo aliuawa akiwa kazini katika Mlima
Gavana eneo la Goma. (PICHA NA KHAMIS MUSSA)
Waombolezaji wakijiandaa kufanya maziko
Waombolezaji wakifanya maziko
Askari wa JWTZ wakitoa heshima wakati wa maziko
Meja Leonidas Luangisa akisoma wasifu wa marehemu Luteni Mlima.
Msemaji Mkuu wa Familia ya Mlima, Balozi Alhaji Saleh Tambwe akisoma salamu za
familia na kuwashukuru watu wote walioshiriki kwenye mazishi hayo.
0 comments: