UFOO SARO AFANYIWA UPASUAJI WA KUONDOLEWA RISASI MWILINI

Mwenyekiti wa IPP Regnald Mengi akihojiwa na wanahabari kuhusu tukio hilo

Wanahabari wakiwa hospitalini hapo
Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akimpeleka wodini Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufo Saro,  baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa risasi kufuatia kushambuliwa kwa silaha ya moto nyumbani kwa mama yake  Kibamba jijini Dar es Salaam leo na mtu aliyedaiwa ni mchumba wake ambaye pia alimuua mama yake na kisha kujiua.




Wanahabari wakiwa nje ya Jengo la Kibasila  hospitali ya Taifa Muhimbili PICHA NA KHAMISI MUSSA.mmiliki wa  (www.ujijirahaa.blogspot.com)

1 comment:

  1. A,a. hongera sana kaka, kazi nzuri nimeipenda, Allah akurudhuku zaid uendelee kufanya vema zaidi na kwa ufanisi wa hali ya juu katika kazi zako.

    ReplyDelete