MAADHIMISHO YA MATEMBEZI YA HISANI YAKUMUENZI MWALIMU JULIUS K.NYERERE VIWANJA VYA KARIM JEE HALL

 Baadhi ya wabunge wa vyuo Vikuu vya umaa wakimpungia mikono mgeni Rasmi
 Baadhi ya wanavyuo wakiwa na bango lenye ujumbe maalum
  Baadhi ya wanavyuo wakiwa na bango lenye ujumbe maalum na picha ya baba wa Taifa

 Bendi ya Magereza Ilio kua ikitumbuiza katika hafla hiyo na wakimsikiliza Mgeni rasmi
 Mgeni Rasmi Mary Mushi Mkurugenzi wa Idara ya Elimu kwa Umma  kutoka ofisi ya Takukuru ,kwa  niaba ya Mkurugenzi Mkuu Dakitari  Edward Hosea








Picha na KHAMISI MUSSA na  mmiliki wa (www.ujijirahaa.blogspot.com) 

0 comments: