








Ay

Mwana FA








J Martins wa Nigeria nae alikuwepo kufanya showa mbapo kama ilivyotekea kwa show yake ya kwanza ya Fiesta pale 96.0 Tanga, J aligawa zawadi kwa fans aliowaita yeye mwenyewe kwenye stage…. Tanga aligawa cheni pamoja na pesa na Moshi kagawa saa na pesa kwa mashabiki wawili tofauti.






Weusi kwenye stage

Hii picha ya juu na ya chini ni shangwe walilopigiwa Weusi wakati wakiwa kwenye stage



Rich Mavoco


Show ilihostiwa na B12 na Dj Fetty kutoka XXL ya Clouds FM.

Ney wa Mitego

Linah Sanga…



Ally Nipishe




0 comments: