MTEMVU ATANGAZA MIRADI KIBAO INAYOTEKELEZWA KWA ILANI YA CCM TEMEKE
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 10:09 AM
Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu akijibu maswali mbalimbali
kutoka kwa wananchi wa mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Sifa, Mtoni
Sabasaba, Temeke, Dar es Salaam. Alifanya mkutano huo kwa lengo la
kuelezea miradi mbalimbali inayotekelezwa wilayani humo kwa Ilani ya
Uchaguzi ya CCM.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Yahya Sikunjema akihutubia katika mkutano huo
Mtemvu akitaja miradi mbalimbali inayotekelezwa wilayani humo
Baadhi ya viongozi wa CCM, Serikali na vyama vya upinzani wakiwa katika mkutano huo
Mmoja wa wananchi akiuliza swali kwa viongozi akiwemo mbunge na diwani wa eneo hilo
Mtemvu akijibu maswali
Diwani wa Kata ya Mtoni Ali Kinyaka akijibu maswali ya wananchi
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Temeke, Sikunjema na Mbunge Mtemvu wakicheza muziki wa majanga
Kulia Mke wa Mbunge wa Temeke, akifurahi pamoja na wananchi baada ya mkutano huo kumalizika
Mke wa Mbunge wa Temeke, ambaye pia ni Diwani wa Viti Maalum (wa pili kushoto) akicheza muziki pamoja na wananchi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: