CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI CHAMZAWADI ZAWADI MHE. RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE

Mbunge wa Mchinga Mkoani Lindi, Mhe. Salma Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Amidi wa Skuli ya Meno ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili  (MUHAS), Dk Ferdinand Machibya kwa heshima  ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipotembelea Skuli hiyo leo Januari 19, 2024. (PICHA NA KHAMISI MUSSA).


 

0 comments: