ZIARA YA WAZIRI MKUU MKOANI MTWARA

   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia korosho ambazo hazijabangulia, wakati alipokagua na kuona juhudi za uongezaji thamani wa zao la korosho, katika kiwanda cha Organic Growth Limited, kilichopo katika Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo Agosti 13, 2023. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
, akiangalia korosho ambazo hazijabangulia, wakati alipokagua na kuona juhudi za uongezaji thamani wa zao la korosho, katika kiwanda cha Organic Growth Limited, kilichopo katika Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo Agosti 13, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiangalia korosho zilizokua teyari kuuzwa, wakati alipokagua na kuona juhudi za uongezaji thamani wa zao la korosho, katika kiwanda cha Organic Growth Limited, kilichopo katika Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani humo Agosti 13, 2023. Kushoto ni Mkurugenzi wa kiwanda hicho Aldina Azizi. 
   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha Organic Growth Limited, kilichopo katika Wilaya ya Tandahimba Mkoani Mtwara,  wakati alipokagua na kuona juhudi za uongezaji thamani wa zao la korosho katika kiwanda hicho Agosti 13, 2023. 
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiweka jiwe la msingi mradi wa maji Kitama, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Mtwara Agosti 13, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi.
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akikata utepe wakati alipozindua mradi wa maji Kitama, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Mtwara Agosti 13, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi.  
  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akifungua bomba la maji wakati alipozindua mradi wa maji Kitama, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Mtwara Agosti 13, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi. 
   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwatua wakinamama ndoo za maji, wakati alipozindua mradi wa maji Kitama, akiwa kwenye ziara ya siku mbili mkoani Mtwara Agosti 13, 2023. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji, Maryprisca Mahundi. 

0 comments: