CCM DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Abbas Mtemvu anawatakia EID MUBARAK watu wote ulimwenguni hususani waumini wa Dini ya Kiislamu nakumtakia Afya njema Rais wetu mpendwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na viongozi wote kwa ujumla pamoja na viongozi wote wa Dini.

0 comments: