UTEKELEZAJI WA MIRADI YA KIMAENDELEO KATIKA JIMBO LA KIGOMA KASKAZINI







    Hizi ni baadhi ya picha ambazo zinaonyesha Utekelezaji wa Miradi mbalimbali katika Jimbo la Kigoma Kaskazini chini ya usimamizi wa Mbunge Assa Makanika. 

Utekelezaji wa Miradi hii imefanyika ndani ya miaka miwili pekee ikiwa ndicho kipindi alichoingia Mbunge Makanika. 

Shukrani za Dhati ziende kwa Serikali yetu na Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu kwa kutuwezesha kufanya utekelezaji.

0 comments: