WAZIRI MKUU MGENI RASMI UZINDUZI WA KAMPENI YA UPIMAJI VVU JUNI 19 JIJINI DODOMA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dkt. Leonald Maboko, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa kampeni ya furaha ya yangu kuhamasisha huduma za kupima VVU na kuanza ARV mapema ambayo itazinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Juni 19 jijini Dodoma.
 Kaimu Mkurugenzi wa Kinga toka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Angela Ramadhani akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa kampeni ya furaha yangu ya kuhamasisha huduma za kupima VVU na kuanza ARV mapema ambayo itazinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Juni 19 jijini Dodoma.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dkt. Leonald Maboko, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa kampeni ya furaha yangu kuhamasisha ya huduma za kupima VVU na kuanza ARV mapema ambayo itazinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Juni 19 jijini Dodoma.
 Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) Dkt. Leonald Maboko (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa kampeni ya furaha yangu ya kuhamasisha huduma za kupima VVU na kuanza ARV mapema ambayo itazinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Juni 19 jijini Dodoma.

 Naibu Mkurugenzi wa Afya toka Shirika la Misaada la Marekani Bi. Ananthy Thambinayagan Ramadhani akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa kampeni ya furaha yangu ya kuhamasisha huduma za kupima VVU na kuanza ARV mapema ambayo itazinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Juni 19 jijini Dodoma..
Picha na Eliphace Marwa – MAELEZO, Dar es Salaam.

0 comments: