MZEE MWINYI, KIKWETE NA KINANA WAUNGANA NA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MZEE MTOPA, JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiongoza sala ya kumswalia marehemu Mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ally Mtopa,  Katika Msikiti uliopo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam Apr 10, 2018,  Mzee Mtopa alifariki dunia usiku wa kuamkia juzi. Wa tano kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mastaafu, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana

0 comments: