WAZIRI WA AFYA UMMY MWALIMU AZINDUA BENK YA DAMU DAR ES SALAAM

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Ummy Mwalimu (wa pili kulia) akizungumza katika uzinduzi wa Benk ya Damu katika Taasisi ya Mifupa (MOI) Dar es Salaam Novemba 3,2017. kuanzia kushoro ni Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Zakia Meghji, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo  Dkt. Respicious Boniface na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania . Jasem  Al-Najem. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
  Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Zakia Meghji (kulia) akipokelewa na Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi wa Taasisi hiyo, Flora Kimaro, anaye shuhudia ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo  Dkt. Respicious Boniface

 Meneja Uhusiano na Ustawi wa Jamii Taasisi ya Mifupa (MOI),  Jumaa Almasi akimkaribisha Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini Taasisi hiyo,  Zakia Meghji kabla ya uzinduzi wa Benk ya Damu kuzinduliwa na   Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Ummy Mwalimu
 Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Mseru akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini Taasisi ya Mifupa (MOI),  Zakia Meghji
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (MOI) Dkt. Respicious Boniface akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Mseru


  Baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Mifupa MOI wakiwa wamesimama wakati alipokuwa akiingia Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Ummy Mwalimu (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait.

 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (MOI)  Dkt. Respicious Boniface (wa pili kushoto)  akisoma taarifa fupi  ya Taasisi ya Mifupa wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait, wa pili kulia ni  Waziri Wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto . Ummy Mwalimu, kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini Taasisi hiyo,  Zakia Meghji na wakwanza kulia ni Balozi wa Kuwait nchini Tanzania . Jasem  Al-Najem

 Balozi wa Kuwait, Jasem  Al-Najem (wa tatu kushoto) akizungumza wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu akitolewa tafasiri na Abdalla Yahaya (kulia) iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait, (wapili kushoto) ni Waziri Wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu,  wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Dkt. Respicious Boniface


 Balozi wa Kuwait, Jasem Al-Najem kulia akimkabidhi zawadi  Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kwa kuutambua  mchango mkubwa anaopambana nao katika Wizara yake wakati wa uzinduzi wa Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait.




 Waziri Wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Ummy Mwalimu (wa pili kulia) akizindua Benki ya damu iliyodhaminiwa na Ubalozi wa Kuwait Dar es Salaam akiwa na Balozi wa Kuwait, Jasem  Al-Najem (wa pili kushoto) na wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Zakia Meghji na wakwanza kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo  Dkt. Respicious Boniface
Waziri Wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Ummy Mwalimu katikati akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Huduma ya Maabara mbuta Jacson
Waziri Wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Ummy Mwalimu akikabishiwa moja ya mashine ya kuhifadhia damu na Balozi wa Kuwait, Jasem  Al-Najem

Balozi wa Kuwait, Jasem Al-Najem akichangia damu  katika Benki hiyo iliyozinduliwa na Waziri Wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati wa uzinduzi huo uliyofanyika  Dr es Salaam.


0 comments: