MKOA WA LINDI KUPOKEA ZAIDI YA WAJUMBE 600 WA CHAMA CHA WAUGUZI TANZANIA (TANNA)
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 10:09 AM
Muonekano wa Hotel ya Sea View Beach Resort
Muonekano wa Hotel ya Sea View Beach Resort
Mandhari ya Ukumbi wa Hotel ya Sea View Beach Resort ambapo unatarajiwa kufanyika Mkutano Mkuu wa chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) na Kongamano la Kisayansi, Oktoba 04-06, 2017. Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Wajumbe wakijiandikisha
Wajumbe Mbalimbali wakiendelea kujiandikisha
Rais wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA), Paul Magesa (wa nne kushoto) waliyosimama katika picha ya pamoja na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho kutoka mkoa wa Arusha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: