| Kichaka ambacho kipo ndani ya ziwa Viktoria na baadhi ya mitumbwi ya wavuvi ambacho ndicho kinasadikika mamba huyo upenda kujificha kwenye maeneo hayo. |
Ramadhan
Dadila ni moja kati ya watu ambao walikuwa na marehemu hapa anazungumza
na waandishi wa habari namna ambavyo waliachana wakati wakiwa kwenye
shughuli za uvuvi.
|
| Afisa mtendaji wa Kijiji hicho Bw,Beatus Mazezele akielezea namna ambavyo walipatiwa taarifa ya mtu huyo kushambuliwa na mamba . |
| Wanakijiji wakiwa wamekusanyika kando kando ya vikwe wakisubilia kuanza kumuwinda Mamba . |
| Picha na maduka online |
0 comments: