KATIBU TAWALA MKOA WA LINDI APOKEA VIONGOZI WA TANNA KATIKA MKOA WAKE

  Rais wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA), Paul Magesa (kushoto) akisalimiana na Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Ramadhni Kaswa  mara alipofika Ofisini kwake akiongozana na Wajumbe wenzake

 Mwenyekiti wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) Mkoa wa Lindi, Patrick Achimpota (kushoto) akisalimiana na Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Ramadhni Kaswa
  Makamu wa Rais wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) , Ibrahim Mgoo (kushoto) akisalimiana na Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Ramadhni Kaswa
 Raisi wa Chama Cha Wauguzi Paul Magesa (katikati) na Makamu wake Ibrahim Mgoo (kushoto) wakisaini katika kitabu cha wageni mara walipowasili katika Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Ramadhni Kaswa
 Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Ramadhni Kaswa akizungumza na  Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kutoka sehemu mbalimbali mara walipofika  Ofisini kwake
 Katibu Tawala Mkoa wa Lindi, Ramadhni Kaswa (wa nne kulia) katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Wauguzi Tanzania (TANNA)

0 comments: