| Mtangazaji wa kipindi cha Ladha 3600 pamoja na Yound D. |
Efm
redio imewafikia wakazi wa Kinondoni siku ya leo ya tarehe 22/09/2017,
kwa kupitia tamasha lake la Njendani lililofanyika katika uwanja wa
Biafra – Kinondoni, ambapo watangazaji wa Kipindi cha Joto la Asubuhi,
sports HQ, Uhondo na Ladha 3600 wakitangaza moja kwa moja katika kiwanja
hicho pamoja na burudani mbalimbali za muziki ikiambatana na kampeni ya
kuchangia damu ilioongozwa na Mpango wa Damu salama katika kuokoa
maisha ya wagonjwa waliofanyiwa upasuaji wa moyo.
Mkuu
wa wilaya ya Kinondoni mheshimiwa Ally Hapi (wa kwanza kulia) akiongea
live na wakazi wake kupitia kipindi cha Joto la Asubuhi – Uwanja wa
Biafra.
Mtangazaji wa Kipindi cha sports HQ, akizungumza na wakazi wa Kinondoni wakichambua michezo kwa pamoja.
Rdj x5 wa kipindi cha Sports Headquarters akifanya yake Biafra.
Sehemu ya mashabiki wakishuhudia matangazo hayo moja kwa moja.
Baadhi ya wakazi wa kinondoni wakichangia damu kwenye banda.
Msanii wa bongo fleva Yound D akiburudisha wakazi wa Kinondoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: