
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid alipowasili katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika jana, Dese 10, 2016

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwenyekiti wa Tume ya Maadili ya Viongozi Zanzibar Nd,Asaa Ahmada Rashid (kulia) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman mara alipowasili katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja katika sherehe za Maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika

Kikundi cha Brass Band cha Jeshi la Polisi Zanzibar wakiongoza matembezi ya Taasisi mbali mbali zilizoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja.

Vijana waliobeba bango linalotoa ujumbe usemao Siku ya Maadili na Haki za Binadamu”Imarisha Utawala Bora kwa Kukuza Uadilifu,Uwajibikaji,Haki za Binadamu na Mapambano Zidi ya Rushwa”wakati wa matembezi ya maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu Duniani zilizofanyika katika Viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja.(P.T)








0 comments: