WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGA KIKAO CHA BUNGE MJINI DODOMA


Waziri   Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha bunge mjini Dodoma Septemba 16, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi kwenye jengo la utawala la  Bunge mjini Dodoma,  Katikati ni  Mbunge wa Kibiti, Ali Ungando
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya shilingi milioni 100 kutoka kwa Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Caspian, Bw. Omid  Karambeck  ukiwa ni mchango kwa ajaili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya  bungeni mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimshukuru, Mkurugenzi Mtendaji wa Kapuni ya Border Limited, Bw. Wu Yahui baada ya kupokea shilingi milioni 20  zikiwa ni mchango wa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Makbidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya  Bunge mjini Dodoma

0 comments: