AJALI YA AJABU BARABARA YA KILWA ENEO LA MTONI MTONGANI JIJINI DAR ES SALAAM

 Wapita njia wakitazama "maajabu" gari hili ililokuwa likitoka Mtongani kuelekea Mbagala jijini Dar es Salaam, likiwa limeacha nia na kuparamia kingo ya barabara lakini lakustaajabisha wengi gari hilo liliparamia kingo hiyo kwa nyuma kama inavyoonekana

0 comments: