RC TANGA AFANYA ZIARA YA KUTEMBELEA WILAYA YA PANGANI,AZINDUA JENGO LA UPASUAJI KITUO CHA AFYA MWERA WILAYANI HUMO

Mkuu wa mkoa wa Tanga Martin Shigella (kushoto), akifunua kitambaa ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa jingo la upasuaji katika kituo cha Afya Mwera, mkoani humo Juni 3, 2016. Kulia ni Mkuu wa Wilayaya Muheza Esterina Kilasi. (Picha na Tanga Raha Blog)
Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martin Shigella akizungumza mara baada ya kuzindua jingo hilo.

Baadhi ya watumishi wa halmashauri ya wilaya ya pangani wakimsikiliza kwa umakini mkuu wa mkoa wa Tanga, Martin Shigella alipokuwa akizungumza nao
Mkuu wa mkoa akisalimiana na baadhi ya waliohudhuria hafla hiyo


Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martin Shigella (katikati), akishuka kwenye kivuko cha mto Pangani kushoto kwake ni kaimu mkuu wa wilaya ya Pangani, Esteria Kilasi ambaye ni mkuu wa wilaya ya Muheza na kulia ni katibu tawala wa mkoa wa Tanga, mhandisi Zena Said

0 comments: