NAIBU WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO MHE. ANASTAZIA WAMBURA AKUTANA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI MHE. HANNE – MARIE KAARSTAD MJINI DODOMA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 6:27 AM
Balozi wa Norway nchini. Hanne
– Marie Kaarstad akimshukuru Naibu Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura kwa zawadi ya kanga aliyompa
Balozi wa Norway Nchini Mhe. Hanne – Marie Kaarstad (kushoto)
akimweleza. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Anastazia Wambura kuhusu miradi mbalimbali ya maendeleo inayofanywa na Norway
hapa nchini ukiwemo mradi wa kuwawezesha wanawake
kiuchumi kupitia VICOBA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments: