WAZIRI MKUU MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI UINGEREZA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania Waishio  nchini Uingereza  kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Mei 14, 2014.   Kulia ni Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki Kikanda na Kimataifa, Augustine Mahiga. Kushoto ni KaimuBalozi wa Tanzania nchini Uingereza, Msafiri  Marwa . (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)











0 comments: