JAMBO LEO YATOA TUZO KWA MUUZAJI NAKALA NYINGI MWEZI APRILI 2016
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 3:32 AM
Mkurugenzi wa Gazeti la Jambo Leo, Theophil Makunga (kushoto) akimkaribisha Mohamed Omari wakati alipofika katika ofisi hiyo Dar es Salaam leo (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Jambo Leo linalomilikiwa na Kampuni ya Quality Media Group, Anicetus Mwesa (wa nne kushoto) akimkabidhi zawadi maalumu, wakala wa magazeti, Mohamed Omari baada ya kufanikiwa kuuza nakala nyingi zaidi kwa mwezi Aprili. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mohamed Omari wa tatu kushoto na mwenzake Fikirini Shabani wa tatu kulia, wakiliangalia Gazeti la Jambo Leo mara baada ya kuibuka mshindi kwa kuuza kopi nyingi kwa Mwezi wa Aprili 2016 .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: