GARI LA DAWASCO LAPARAMIA KITUO CHA MABASI NA KUSAMABISHA MAJERUHI WATATU KUKIMBIZWA HOSPITALI YA MWANANYAMALA
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 8:44 AM
Gari lenye namba za usajili T 369 BUZ linalo milikiwa na Kampuni ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASCO) likiwa limeparamia kituo cha mabasi
baada ya gari hilo kukosa mwelekeo na kugonga
kituo hicho na kujeruhi abiria watatu waliokua kituoni hapo majira ya
Saa 2 usiku jana eneo la Mbuyuni, Barabara ya Bagamoyo Dar es Salaam (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: