BASI LA MWENDO KASI LABAMIZWA KATIKA MAKUTANO YA BARABARA YA MSIMBAZI NA UMOJA WA MATAIFA DAR ES SALAAM MCHANA HUU

 Basi la mwendokasi T 123 DGW labamizwa na Gari namba za usajili  T543 CUQ , katika makutano ya Barabara ya Msimbazi na Umoja wa Mataifa Dar es Salaam mchana huu kama linavyo onekana pichani. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)




0 comments: