Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa nasaha zake kwa wananchi pamoja na wafanyakazi wa Hospitali ya mnazi mmoja katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia), Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks. (Picha na Ikulu).
SHEREHE ZA MAPINDUZI ZANOGA; DKT. SHEIN AZINDUA UJENZI WA WODI YA WATOTO NA UPANUZI WA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA Z'BAR
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 6:55 AMRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa nasaha zake kwa wananchi pamoja na wafanyakazi wa Hospitali ya mnazi mmoja katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi Wodi ya Watoto na upanuzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja leo ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar(kulia), Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Bw.Jaap Frederiks. (Picha na Ikulu).
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo, akizungumzia upanuzi wa hospitali hiyo
Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Bw.Jaap
Frederiks, akizungumzia jinsi nchi yake ilivyofadhili mradi huo
Dkt. Shein akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa wodi ya watoto
Wageni waalikwa
Dkt. Shein 9aliyenyoosha mikono), akikagua maendeleo ya upanuzi wa hospitali hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)








0 comments: