Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku mbili mkoani humo , Kushoto ni Mwenye kiti wa CCM wa mkoa wa Kigoma, Walid Kabourou
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI KIGOMA KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 7:19 AM
Waziri
Muu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa
ndege wa Kigoma kwa ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani humo, Kulia
kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa Machibya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku mbili mkoani humo , Kushoto ni Mwenye kiti wa CCM wa mkoa wa Kigoma, Walid Kabourou
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: