RAIS DK. MAGUFULI AWAAPISHA LEO MAWAZIRI NA NAIBU WAZIRI ALIOWATEUA KUJAZA NAFASI ZILIZOSALIA

Mawaziri wapya wakisubiri kuapishwa leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mawaziri wapya wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya kuapishwa leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Magufuli (kushoto) akimuapisha Profesa Jumanne Maghembe (kulia) kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,  leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Magufuli (kushoto) akimuapisha Dkt. Joyce Ndalichako (kulia) kuwa  Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi. (baada ya kumteua kuwa Mbunge), leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Magufuli (kushoto) akimuapisha Dkt. Philip Mpango (kulia) kuwa  Waziri wa Fedha na Mipango (baada ya kumteua  kuwa Mbunge), leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Magufuli (kushoto) akimuapisha Mhandisi Gerson Lwenge (kulia) kuwa  Waziri wa Maji na Umwagiliaji, leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais Magufuli (kushoto) akimuapisha Profesa Makame Mbarawa (kulia) (amehamishwa kutoka Wizara ya Maji na Umwagiliaji) na kwenda Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Magufuli (kushoto) akimuapisha Hamad Masauni (kulia) kuwa  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.


Rais Magufuli (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wapya wanne na Manaibu Waziri leo Ikulu Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuwaapisha wa pili kushoto mstari wa mbele ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Samia Suluhu Hassan, wa pili kushoto ni Waziri Mkuu wa Tanzania. Kassim Majaliwa .(Picha zote na Benedict Liwenga)

0 comments: