KUWAIT YAMPONGEZA NAIBU WAZIRI DKT. SUSAN KOLIMBA


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt. Susan Kolimba (Mb.) akisalimiana na Balozi wa Kuwait hapa nchini,  Nassem Ibrahim Al Najib alipofika Wizarani kwa ajili ya kuwasilisha salamu za pongezi kwa Dkt. Kolimba kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait Dec 31, 2015


Balozi Al Najib akimkabidhi  Dkt. Kolimba salamu za pongezi kutoka kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait



Sehemu ya ujumbe kutoka Wizarani wakifuatilia mazungumzo kati ya  Dkt. Kolimba na Balozi wa Kuwait hapa nchini (hawapo pichani). Kutoka kushoto ni Batholomeo Jungu, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Tahir Bakari, Afisa Mambo ya Nje na Bw. Adam Isara, Msaidizi wa Naibu Waziri.


Picha ya pamoja

0 comments: