![]() |
| Rais Dkt John Pombe Magufuli akipokea kwa furaha hati ya makabadhiano ya Ofisi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam |
RAIS DKT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AKABIDHIWA RASMI OFISI NA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA NNE DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE LEO IKULU, DAR ES SALAAM
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 12:10 PM
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi
rasmi Ofisi ya Rais leo Novemba 12, 2015
Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono kwa furaha na Rais Mstaafu
wa Awamu ya Nne Dkt Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es
salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Kikwete akisalimiana na
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Obeni Sefue alipofika Ikulu jijini Dar es
salaam kukabidhi rasmi Ofisi ya Rais
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Kikwete aliyefika Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi
rasmi Ofisi ya Rais. Kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne
Dkt Kikwete wakati akiongea kabla ya kukabidhi rasmi
Ofisi ya Rais Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akipokea kwa furaha hati ya makabadhiano ya
Ofisi kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Kikwete
Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 12, 2015
Rais
Dkt John Pombe Magufuli akiiangalia kwa furaha hati ya makabadhiano ya
Ofisi aliyoipokea kutoka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
Dkt John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho
Kikwete, Makiamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu
Kiongozi baada ya hafla ya makabidhiano rasmi ya Ofisi Ikulu jijini
Dar es salaam kukabidhi rasmi
Rais
Dkt John Pombe Magufuli, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya
Kikwete, Makiamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan baada ya hafla ya
makabidhiano rasmi ya Ofisi Ikulu jijini Dar es salaam kukabidhi rasmi
leo Novemba 12, 2015.
PICHA ZOTE NA ISSA MICHUZI WA IKULU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)










0 comments: