PROFESA : BAKARI LEMBARITI MGENI RASMI KATIKA HAFLA YA KUWAVISHA MAKOTI MEUPE WANACHUO WAPYA WA UDAKTARI WA KINYWA NA MENO DAR ES SALAAM

Profesa Lembariti Mgeni rasmi katika hafla ya kuwavisha makoti meupe wanachuo wapya wa Udaktari wa Kinywa na Meno, akizungumza na wanachuo hao (pichani hawapo) kabla ya kuwavisha makoti hayo  Hafla hiyo ilifanyika katika Jengo la Meno lililopo  Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) 
Mkuu wa Shule ya Skuli ya Kinywa na Meno, DK. Elison Simon akizungumza na wanachuo hao kabla ya Hafla ya uvishwaji wa Makoti hayo
Mkuu wa Idara ya Mpangilio wa Meno ya watoto na Afya ya Kinywa kwa Jamii  DK. Emeria Mugonzibwa akisikiliza kwa umakini mkubwa wakati Mgeni Rasmi, Profesa Lembariti alipokuwa akizungumza na Wanachuo hao ambapo (pichani hawapo)
Baadhi ya viongozi wa Idara mbalimbali wa  Kinywa na Meno wakimsikiliza Mgeni Rasmi Profesa Lembariti alipokuwa akizungumza na wanachuo hao kabla ya kuwavisha Makoti hayo,kuanzia kushoto ni Rais wa Madaktari wa Kinywa na Meno Tanzania, wakatikati ni Mkuu wa Idara DK. Jeremiah Moshy na Mkuu wa Idara DK. Febronia Kahabuka



 Mhadhiri DK. Paulo Sarita akisungumza na wanachuo hao kabla ya Hafla ya kuwavisha Makoti hayo 

Wakila kiapo wanachuo hao


Msaidizi wa Mkuu wa Shule ya Skuli ya Kinywa na Meno Mwajabu akiwa kazini akitekeleza wajibu wake




































Wanachuoa hao wakipiga makofi baada ya mmoja wa wanafunzi kuvishwa koti na ndiye alikuwa wamwisho

Wanachuo hao wakiwa katika tabasamu baada ya kuvishwa makoti hayo
Muonekano wa wanachuoa hao baada ya kuvishwa makoti hayo



Picha ya pamoja

0 comments: