MTEMVU ATEKELEZA AHADI KWA UVCCM WILAYA 3 ZA MKOA WA DAR ES SALAAM
Posted by khamisimussa77@gmail.com at 3:43 AM
Mtemvu akiongea na wana habari (pichani hawapo) baada ya kuwakabidhi Pikipiki Makatibu UVCCM wa Wilaya 3 Mkoa wa Dar es Salaam ambapo Temeke walikwisha pewa yakwao
Mtemvu akimkabidhi Pikipiki Mjumbe Kamati ya Utekelezaji Wilaya ya Kinondoni kwa niaba ya Katibu UVCCM kuwa na udhuru baada ya kuwakabidhi Pikipiki Makatibu UVCCM wa Wilaya 3 Mkoa wa Dar es Salaam
Mtemvu akimkabidhi Pikipiki Katibu wa UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Kisamba Kidando
Katibu wa UVCCM Wilaya ya Ilala Muhsin Zikatim akiongea na wanahabari (pichani hawapo) kwa niaba ya wenzake baada ya kukabidhiwa pikipiki hizo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments: